Featured

Redefining organisational leadership and management towards post Covid 19Published
Chuo kikuu cha Management University of Africa' kimefanya kongamnao la kutoa uhamasisho kuhusu mbinu za usimamizi wa vyuo kufuatia athari za ugonjwa wa Covid-19.
Kongamano hilo lilihudhuriwa na waakilishi kutoka vyuo vikuu vya Marekani, Japan na India, ambapo uasimamizi wa chuo hicho ulimpongeza rais William Ruto kwa kupiga jeki shughuli za utafiti na ujasiri amali. aidha wadau wa elimu wametakiwa kuwa wabunifu ili kuongeza nafasi za ajira katika sekta mbalimbali.
Category
Management
Be the first to comment